FT : Simba 4-2 AFC Leopards

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Sep 2018
FT : Simba 4-2 AFC Leopards
Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba wameifumua AFC Leopards kutoka nchini Kenya kwa mabao 4-2 katika mchezo wa Kimataifa wa kirafiki uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa Jumamosi jioni.

Mabao ya Simba iliyokuwa kwenye kiwango bora kabisa kwenye mchezo huo yalifungwa na nahodha John Bocco aliyefunga mabao mawili, Mohammed Ibrahim na Marcel Kaheza huku mabao ya AFC Leopards yakiwekwa kambani na Yujini Mkangula na Dani Omond.

Katika mchezo huo kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems aliwaanzisha baadhi ya wachezaji ambao wamekuwa hawapati nafasi kwenye kikosi cha kwanza.

Mchezo huo ni sehemu ya maandalizi ya kikosi cha Simba ambacho wiki ijayo Septemba 15 kitasafiri mkoani Mtwara kuikabili Ndanda Fc kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’