Mkude awapa moyo wa kupambana wachezaji Stars

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Sep 2018
Mkude awapa moyo wa kupambana wachezaji Stars
Kiungo namba sita bora zaidi kwa wakati huu nchini Tanzania Jonas Mkude ni miongoni mwa wachezaji wa Simba walioitakia kheri timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' ambayo leo itashuka kwenye uwanja wa Mandela jijini Kampala kuikabili Uganda Cranes.

"Sisi ni Tanzania. Sisi ni Taifa Stars. Kwa pamoja, tuungane kuwaombea wawakilishi wetu kwenye mchezo wa leo dhidi ya Uganda," ameandika Mkude kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii.

Mkude ni miongoni mwa wachezaji sita wa Simba walioondolewa na kocha Emmanuel Amunike kwenye kikosi cha Stars baada ya kudaiwa kuchelewa kuripoti kambini.

Baada ya mchezo huo unaotarajiwa kupigwa kuanzia saa kumi kamili jioni, saa 12 Simba itashuka kwenye uwanja wa taifa kuikabili AFC Leopards kwenye mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’