Mapema leo Mkuu wa Habari wa klabu ya Simba Haji Manara alifanya Mkutano na Waandishi wa Habari kuelekea mchezo wa kirafiki dhidi ya AFC Leopards kesho.
Manara amewataka mashabiki wa mabingwa hao wa Tanzania Bara wajitokeze kwa winge kwenye uwanja wa Taifa kesho kushuhudia mchezo huo wa kirafiki unaotarajiwa kuanza saa 12 jioni.
"Tuje kibabe kesho Taifa kama nilivyo msemaji wenu mbabe. Simba sio Klabu ya kinyonge ni Timu la kibabe na kesho Saa 12 jioni itacheza na AFC Leopards ya Kenya kwenye mchezo wa Kimataifa wa kirafiki"
Manara ametaja viingilio vya mchezo huo kuwa ni ;
VIP A 15,000.
VIP B 10,000.
MZUNGUKO 5,000

ADVERTISE HERE