Baada ya mapumziko ya siku ya moja, kikosi cha Simba kimerejea mazoezini katika maandalizi ya mchezo wa mkondo wa pili hatua ya awali ligi ya mabingwa barani Afrika.
Jumapili, Septemba 13 Simba itakuwa mwenyeji wa Mighty Wonderers katika mchezo huo ambao Simba itakuwa ikisaka tiketi ya kufuzu raundi ya kwanza baada ya ushindi ugenini.









