AFC Leopards yaahidi kuipa Simba ushindani

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Sep 2018
AFC Leopards yaahidi kuipa Simba ushindani
Nahonda wa AFC Leopard, Azizi Okaka amesema wanaiheshimu Simba kutokana na ukubwa wao lakini wamesafiri kwa lengo la kushindana na siyo kukubali kushindwa.

Simba na Leopard wanatarajia kushuka uwanjani kesho saa 12 jioni kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam ukiwa ni mchezo wa kirafiki.

Nahodha Okaka alisema kikosi chao kimejiandaa vizuri tayari kwaajili ya mchezo huo ambao wanatarajia kuutumia kukiandaa kikosi ikiwa ni pamoja kutengeneza vijana waweze kufiti katika mfumo wa mwalimu.

"Kwa asilimia kubwa wachezaji wengi waliopo katika kikosi chetu ni chini ya miaka20 mwalimu anatarajia kutumia mchezo huo kuwapa uzoefu wa kucheza mechi kubwa," alisema Okaka.

"Tunaamini mchezo utakuwa mzuri na utatusaidia kutuweka fiti zaidi baada ya kufanya mazoezi kwa muda mrefu bila kucheza mchezo wa kirafiki," alisema.

Wakati huo huo nahodha msaidizi wa Simba, Deogratus Munish 'Dida' alisema wachezaji wote wa wapo fiti tayari kwa mchezo huo.

Alisema wamejiandaa vizuri na kila mchezaji yupo katika hali ya mchezo wanategemea mchezo mzuri na wa ushindani kesho, alitumia nafasi hiyo kuwaomba mashabiki kujitokeza kwa wingi kuwapa ushirikiano

Mwanaspoti
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’