Mpya

Mashabiki Simba watikisa Malawi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Sep 2026
Mashabiki Simba watikisa Malawi

Mamia ya mashabiki wa Simba wamesafiri nchini Malawi kuipa sapoti yimu yao kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Mighty Wonderers utakaopigwa kesho Jumapili kwenye uwanja wa Bingu.

Ni tuko nadra kushuhudiwa kwenye soka la Afrika, lakini limefanywa na mashabiki wa Simba ambao kwao sio jambo kubwa.

Hata Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) linatambua Simba ndio klabu yenye mashabiki bora barani Afrika!

Wanalunyasi wanaonesha ubora wao ugenini huko Malawi..!

More Stories

Simba yakamilisha maandalizi dimba la Uhuru
Simba yakamilisha maandalizi dimba la Uhuru
8h ago
READ MORE β†’
Libasse ameweka kabatini tuzo ya kwanza ya ligi kuu msimu huu
Libasse ameweka kabatini tuzo ya kwanza ya ligi kuu msimu huu
11h ago
READ MORE β†’
Mighty Wonderes wawasili Dar usiku
Mighty Wonderes wawasili Dar usiku
14h ago
READ MORE β†’
Makgalwa ajipa muda zaidi Simba
Makgalwa ajipa muda zaidi Simba
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Ijumaa, Septemba 11 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Septemba 11 2026
18h ago
READ MORE β†’
Mighty Wonderers kutua nchini leo, Simba yawaandalia dozi
Mighty Wonderers kutua nchini leo, Simba yawaandalia dozi
1d ago
READ MORE β†’
Kibabage ameanza mazoezi mepesi
Kibabage ameanza mazoezi mepesi
1d ago
READ MORE β†’
Chama apotezea kelele za mitandaoni, aweka msimamo
Chama apotezea kelele za mitandaoni, aweka msimamo
1d ago
READ MORE β†’
Oura anaamini huu utakuwa msimu bora kwa Simba
Oura anaamini huu utakuwa msimu bora kwa Simba
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Septemba 10 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Septemba 10 2026
1d ago
READ MORE β†’