Mashabiki wapagawa Sumbawanga

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Nov 2017
Mashabiki wapagawa Sumbawanga
Wakiwa safarini kuelekea Katavi, kikosi cha Simba kilisimama kwa muda kwenye mji wa Sumbawanga ili kuwapa nafasi mashabiki waliokuwa na uchu wa kuwaona wachezaji.

Idadi kubwa ya mashabiki mjini Sumbawanga walijitokeza kuwalaki mashujaa wao waliotokea mkoani Mbeya kukaragaza Mbeya City kwa bao 1-0.

Simba itacheza mchezo wa kirafiki Katavi kisha kurejea tena Mbeya kuendelea na maandalizi ya mchezo unaofuata dhidi ya Prisons, Novemba 18
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’