Azam TV kurusha mbashara Simba vs AFC Leopards

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Sep 2018
Azam TV kurusha mbashara Simba vs AFC Leopards
Keshokutwa Jumamosi, Septemba 08, 2018 mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba watashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili AFC Leopards katika mchezo wa kirafiki.

Mchezo huo unaotarajiwa kupigwa kuanzia saa moja jioni utarushwa mbashara na Azam TV kupitia chaneli ya Azam Sport 2.

Simba imeendelea kujifua kwenye uwanja wa Gymkhana jijini Dar es salaam kujiandaa na michezo ya ligi ambapo Septemba 15 itakuwa mkoani Mtwara kuikabili Ndanda FC.

Simba inajifua ikiwa na sehemu kubwa ya wachezaji wake isipokuwa Aishi Manula, Emanuel Okwi, Clatus Chama na Meddie Kagere ambao wanakabiliwa na majukumu ya timu za Taifa.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
21m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
18h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
21h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’