Zoezi la utolewaji wa fomu kwa wagombea kwa ajili ya uchaguzi wa Simba unaotarajiwa kufanyika Novemba tatu limeanza siku tatu zilizopita.
Mpaka sasa hakuna wagombea waliojitokeza kuchukua fomu kuwania nafasi mbalimbali.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya klabu ya Simba, Boniface Lyamwike, amesema kuwa mpaka kufika jana hakukuwa na mgombea yoyote aliyewasili kunako makao makuu kuchukua fomu.
Huenda wagombea wanasubiri siku za mwisho za zoezi hilo ambalo litafanyika kwa muda wa wiki moja.
Nafasi zinazowaniwa ni ya Mwenyekiti na Wajumbe watano wa Bodi ya Wakurugenzi

ADVERTISE HERE