Simba kujipima na AFC Leopards Septemba 08

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Sep 2018
Simba kujipima na AFC Leopards Septemba 08
Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba Jumamosi, Septemba 08 watacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya AFC Leopards ya Kenya.

Mchezo huo utapigwa uwanja wa Taifa kuanzia saa moja jioni baada ya kumalizika kwa mchezo wa kufuzu AFCON 2019 kati ya Uganda dhidi ya Tanzania.

Kutakuwa na 'sceen' kubwa uwanjani itakayoonyesha mchezo kati ya Uganda dhidi ya Tanzania.

Mkuu wa Habari wa klabu ya Simba Haji Manara ametaja viingilio vya mchezo huo kuwa ni ;

VIP A - Tsh 15,000/-
VIP B - Tsh 10,000/-
Mzunguuko - Tsh 5,000/-
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’