Kikosi cha Simba leo asubuhi kimeendelea na mazoezi kwenye uwanja wa Gymkhana jijini Dar es salaam kujindaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ndanda FC utakaopigwa mkoani Mtwara Septemba 15, 2018.


ADVERTISE HERE