Wawa apania kujiimarisha asitoke kikosi cha kwanza Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Sep 2018
Wawa apania kujiimarisha asitoke kikosi cha kwanza Simba
Beki wa klabu ya Simba, Pascal Wawa, ameahidi kuendelea kujifua zaidi ili kuepuka ushindani wa namba kutona na timu yake kuwa na kikosi kipana, imeelezwa.

Wawa aliyewahi kuichezea Azam FC, amesema ataendelea kujifua zaidi kwa nguvu zote ili kuhakikisha hachuji jambo ambalo litamuwezesha kuimudu vema nafasi yake.

Wawa ambaye ni beki wa kati amesema kujituma kwake mazoezini kutampa nguvu na morali ya kuzidi kufanya vema zaidi ili kuonesha kuwa hajasaliwa Simba kupoteza muda.

Wawa alianza kufanyiwa majaribio na Simba kwenye mashindano ya Kagame yaliyofanyika hapa nchini hivi karibuni na baadaye kupewa mkataba wa mwaka mmoja na mabosi wake.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
4h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
14h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’