Wakati Mlinda lango Aishi Manula akitarajiwa kuingoza Tanzania kwenye mchezo dhidi ya Uganda Septemba nane, Rwanda itaongozwa na wachezaji wawili wa Simba Meddie Kagere na Haruna Niyonzima kwenye mchezo wa kusaka tiketi ya fainali za AFCON 2019 dhidi ya Ivory coast nchini Rwanda Septemba 09.
Kagere ametua nchini Rwanda juzi kuungana na kikosi cha timu hiyo huku Niyonzima akiwa nchini humo kwa wiki kadhaa kufuatia sintofahamu iliyojitokeza baina yake na uongozi wa Simba.
Wachezaji wengine wa Simba, Emanuel Okwi na Juuko Murshid wao wataiongoza Uganda kwenye mchezo dhidi ya Tanzania wakati Cletus Chama ataingoza Zambia kwenye mchezo dhidi ya Namibia.

ADVERTISE HERE