Chama aahidi makubwa Msimbazi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Sep 2018
Chama aahidi makubwa Msimbazi
Mara baada ya kibali chake kupatikana, kiungo mchezeshaji wa Simba ambaye ni raia wa Zambia, Clatous Chama amesisitiza kwamba anakuja na moto wa hatari.

Chama alishindwa kuichezea Simba kwenye michezo yake miwili ya mwanzo wa ligi kutokana na klabu yake ya Power Dynamos aliyokuwa anaichezea kabla ya kutua Simba kushindwa kutuma ITC yake kwa wakati. Alikosa michezo ya Simba dhidi ya Prisons na Mbeya City.

Kiungo huyo ambaye kwa sasa ameitwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Zambia β€˜Chipolopolo’ amefunguka na kuelezea namna anavyokuja kitofauti.

"Kila kitu kimeenda sawa na nitaanza kucheza hivi karibuni. Kwangu ni jambo zuri kwani nitaanza majukumu katika klabu yangu mpya, niseme tu wazi nitapambana kuona klabu yangu inafanya vizuri kwenye mechi zake, wengi wasubiri kuona ni nini ambacho nitafanya kwa ajili ya timu," Chama ameliambia Sports Xtra

Kutokana na ujio wake ndani ya Simba, kuliibuka mjadala mkubwa katika nafasi yake na Mnyarwanda, Haruna Niyonzima kuwa ana uwezekano wa kuchukua nafasi kwa asilimia 100.

Jambo lilipelekea Niyonzima kusema kuwa hastahili kulinganishwa na Chama kutokana na makubwa aliyoyafanya kwenye ligi ya hapa Tanzania na pia akashauri si vema kulinganishwa naye sababu wote wanacheza klabu moja.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
59m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’