Kiungo mahiri wa Simba Mzamiru Yassini leo ameachana na ukapera baada ya kufunga ndoa huko mkoani Morogoro.
Uongozi wa klabu ya Simba umemtakia kila la kheri katika maisha yake mapya ya ndoa.
"Leo hii mchezaji wetu Mzamiru Yassini akiwa mkoani Morogoro amefanikiwa kufunga ndoa na kuaga rasmi kambi ya ubachela.
"Kila la kheri Mzamiru katika maisha yako mapya ya ndoa".

ADVERTISE HERE