Simba yatangaza tarehe ya uchaguzi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Sep 2018
Simba yatangaza tarehe ya uchaguzi
Uongozi wa Simba kupitia Kamati ya Uchaguzi, umeitangaza Novemba 3 2018 kuwa ndiyo siku maalum ya uchaguzi mkuu wa klabu hiyo.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ua Uchaguzi, Boniface Lyamwike, amesema nafasi pekee zinazowaniwa ni ya Rais pamoja na wajumbe watano watakaoingia kwenye bodi ya klabu.

Lyamwike ameeleza kuwa Mwanachama atakayewania nafasi ya Urais ndani ya klabu anapaswa kuwa na kiwango cha elimu ya Shadaha kutoka Chuo Kikuu 'Degree' na hii ni kutokana na mabadiliko ya katiba mpya iliyopitishwa mwaka 2018.

Mbali na shahada kwa Mwenyekiti, katika orodha ya wajumbe hao watano, mjumbe mmoja atapaswa kuwa na shahada ya kwanza ya Chuo Kikuu huku wengine wakiwa na kiwango cha elimu ya kidato cha nne.

Katika wajumbe hao wanne, Lyamwike amesema mmoja wao anapaswa kuwa mwanamke ili kuleta usawa wa kijinsia katika uwajibikaji wa kazi za klabu.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’