Ligi Kuu ya Tanzania Bara imeendelea leo kwa michezo mitano kupigwa kwenye viwanja tofauti.
Haya hapa matokeo ya michezo yote iliyopigwa leo;

Baada ya michezo ya leo, Mbao FC imeendelea kubaki kileleni ikiwa na alama saba ikifuatiwa na Azam FC yenye alama sita sawa na Simba.
Mtibwa Sugar na Stand United zinafuata nafasi ya nne na tano nazo zikiwa zimejikusanyia alama sita pia.

Michezo ya raundi ya tatu ya Azam FC, Simba na Yanga iliahirishwa kutokana na timu hizo kutoa wachezaji wengi kwenye timu ya Taifa.
Hata hivyo wachezaji sita wa Simba na mmoja wa Yanga waliondolewa timu ya Taifa baada ya kuchelewa kuripoti kambini.

ADVERTISE HERE