Kamati ya Uchaguzi Simba kuzungumza na Wanahabari kesho

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Sep 2018
Kamati ya Uchaguzi Simba kuzungumza na Wanahabari kesho
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Kamati ya Uchaguzi ya klabu ya Simba chini ya Mwenyekiti wake Bw Boniface Lyamwike kesho Jumapili tarehe 2/9/2018 Saa Tano na nusu mchana itazungumza na Waandishi wa habari za michezo.

Mkutano huo muhimu unalenga kuelezea maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Simba na utafanyika kwenye Ukumbi wa Kivukoni One,uliopo ndani ya Hoteli ya Serena ya hapa jijini Dar es salaam.

IMETOLEWA NA
HAJI S MANARA
MKUU WA HABARI SIMBA SPORTS CLUB
SIMBA NGUVU MOJA
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
18h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
22h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’