Kikosi cha Simba kimeendelea na mazoezi kujiandaa na michezo ya ligi kuu ya Tanzania Bara itakayopigwa baada ya wiki mbili.
Baada ya kumalizika kwa sakata la wachezaji wake sita kuondolewa kwenye timu ya Taifa, kikosi kamili cha Simba kikijumuisha wachezaji hao kimeendelea kujifua uwanja wa Gymkhana jijini Dar es salaam chini ya kocha Mkuu Patrick Aussems.

ADVERTISE HERE