TAARIFA KWA UMMA
Klabu ya Simba inayofuraha kutangaza kuwa mchezaji wake Hamis Said Juma (Ndemla) amepata nafasi ya kwenda kufanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa nchini Sweden.
Ndemla amepata nafasi hiyo katika klabu ya AFC Eskilstuma inayoshiriki ligi kuu, Ndemla anatarajiwa kuondoka nchini kesho ambapo atakuwa kwenye majaribio ya siku 14 nchini humo.
Klabu ya Simba inaamini Ndemla atafanya vizuri na kufuzu majaribio hayo.
Klabu ya Simba inaendelea kuamini katika kutoa nafasi kwa wachezaji wake kwenda nje kujaribu bahati za kucheza soka la kulipwa.
SIMBA NGUVU MOJA

ADVERTISE HERE