Aussems ataka mabao zaidi kutoka kwa Kagere

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Sep 2018
Aussems ataka mabao zaidi kutoka kwa Kagere
Licha ya straika wa Simba, Meddie Kagere kufunga mabao matatu mpaka sasa kwenye Ligi Kuu, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji Patrick Aussems amesema anaona haitoshi hivyo anahitaji zaidi ya hayo.

Kagere kwa sasa ndiye kinara wa mabao Simba na Ligi Kuu Bara baada ya kufunga mabao matatu kwenye michezo miwili aliyocheza ambayo ni dhidi ya Prisons alitupia bao moja na Mbeya City mabao mawili.

Mbelgiji huyo amesema straika wake huyo anatakiwa kuongeza kasi zaidi ili afunge mabao mengi yatakayosaidia kuibeba timu hiyo na kutetea ubingwa wao wa ligi kuu.

β€œSiyo mbaya kwa namna ambavyo amekuwa akifanya japo kwangu naona bado haitoshi anatakiwa kufunga zaidi na zaidi kadiri ya timu itakavyoshuka dimbani lakini kutengeneza nafasi kwa wenzake kwa ajili ya kupata mabao.

β€œYeye ni mmoja wa washambuliaji wazuri tulionao hapa na lazima aonyeshe makali yake kwa kufunga katika michezo yetu,” Aussems amenukuliwa na Championi.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’