Mashabiki, Wachezaji Simba wamduwaza Djuma mazoezini

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
31 Aug 2018
Mashabiki, Wachezaji Simba wamduwaza Djuma mazoezini
Jana Kocha Msaidizi wa Simba Masudi Djuma ilikuwa kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwake.

Sasa katika mazoezi ya jioni yaliyofanyika viwanja vya Gymkhana jijini Dar es salaam, baadhi ya wadau wa Simba pamoja na wachezaji walimfanyia sapraizi Djuma kwa kusherehesha siku hiyo muhimu kwake.

Wakati akiwa hana taarifa ghafla kundi la mashabiki liliingia uwanjani wakiwa na chupa za maji na Juice na yote kumalizikia mwilini mwake.

Baade wachezaji nao walimfanyia mwalimu wao tukio kama hilo.

HAPPY BIRTHDAY BOSS..
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’