Shirikisho la mpira wa miguu Nchini Tanzania Football Federation (TFF) pamoja na simba sc watakuwa na Mkutano na waandishi wa habari za michezo leo Ijumaa saa 5:00 Asubuhi katika makao Makuu ya Shirikisho hilo Karume Jijini Dar es salaam.
ADVERTISE HERE