Simba kufunguka sakata la wachezaji wake kuenguliwa Stars

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Aug 2018
Simba kufunguka sakata la wachezaji wake kuenguliwa Stars
Uongozi wa klabu ya Simba umesema kuwa watazungumzia sakata la wachezaji wake kuenguliwa kwenye timu ya Taifa baada ya kuitikia wito Kamati ya Maadili.

Kaimu Rais wa Simba Salim Abdallah 'Tray Again' amesema Simba haitazungumza sasa hadi baada ya viongozi wake walioitwa Kamati ya Maadili Jumamosi ijayo waitikie wito huo.

Menaja wa Simba, Richard Robert na Kaimu Katibu Mkuu Hamisi Kisiwa wameitwa Kamati ya Maadili ya TFF wakidaiwa kukaidi agizo la TFF kwa kutowapa taarifa wachezaji wa Simba walioitwa Stars kuripoti kambini juzi Jumanne.

Salim amesema hawana nia ya kurumbana na TFF kuhusu swala hilo na wanadhani huu sio wakati muafaka wa kulizungumzia.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’