Okwi kuiongoza Uganda Cranes ikiivaa Stars

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Aug 2018
Okwi kuiongoza Uganda Cranes ikiivaa Stars
Mshambuliaji wa Simba Emanuel Okwi ataongoza kikosi cha timu ya Taifa ya Uganda kwenye mchezo wa kusaka tiketi ya michuano ya AFCON utakaopigwa Uganda Septemba 08.

Okwi na Juuko Murshidi wote kutoka Simba wameitwa na kocha wa timu hiyo Sebastien Desabre.

Wakati Desabre akiwajumuisha wachezaji hao muhimu kutoka kwa mabingwa wa Tanzania Bara Simba, kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Emmanuel Amunike yeye amewaondoa kikosini wachezaji sita wa Simba kwa kile kinachoelezwa kuchelewa kuripoti kambini.

Uamuzi wake huo umepelekea mgawanyiko miongoni mwa mashabiki na haitashangaza kuona baadhi yao wakiiunga mkono Uganda.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
2h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
8h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
22h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
2d ago
READ MORE β†’