FIFA ilivyoingilia kati suala la Chama

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Aug 2018
FIFA ilivyoingilia kati suala la Chama
Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), limeipa Simba SC kibali cha muda cha kumtumia kiungo Mzambia, Cletus Chama kufuatia klabu yake, Dynamos ya Lusaka kugoma kufanya hivyo.

Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Simba SC zimesema kwamba FIFA imewaandikia TFF, Shirikisho la Soka Tanzania wairuhusu klabu hiyo kumtumia Chama hadi hapo hapo suala lake litakapopatiwa suluhu na kupatiwa Hati rasmi ya Uhamisho wa Kimataifa (ITC).

Pamoja na kukamilisha taratibu zote za usajili wake Simba SC, akisaini mkataba wa miaka miwili, lakini Dynamos imegoma kumpa Chama ITC ikidai inamdai fedha kulingana na makubaliano yao nje ya mkataba.

Na baada ya FIFA kupelekewa kesi hiyo, imeiagiza TFF imruhusu Chama kuendelea kucheza Simba SC kulinda kipaji chake, huku ikiitaka Dynamos kuwasilisha kesi juu ya malalamiko.

Katika hatua nyingine, Simba SC imefanikiwa kupata ITC ya kipa Deogratius Munishi β€˜Dida’ aliyekuwa anachezea timu ya Chuo Kikuu cha Pretoria nchini Afrika Kusini.

Bin Zubeiry
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’