Rekodi za MK14 usipime

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Aug 2018
Rekodi za MK14 usipime
Mshambuliaji Meddie Kagere ameendelea kuthibitisha kuwa ametua Simba kwa kazi moja tu ya kufunga, kwani rekodi zake tangu atue Msimbazi zinatisha.

Nyota huyo wa Rwanda aliyesajiliwa Simba mwezi uliopita jana amefunga mabao mawili wakati akiisaidia Simba kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mbeya City, huku akifikisha jumla ya mabao nane tangu atue Msimbazi.

Mabao yake mawili ya jana yanamfanya Kagere kufikisha mabao matatu ya katika Ligi Kuu Bara kwani alifunga bao pekee na la ushindi dhidi ya Prisons Mbeya.

Mabao mengine ya Kagere ni manne aliyofungwa katika mechi tano za michuano ya Kombe la Kagame iliyochezwa hivi karibuni, moja la mechi ya Ngao ya Jamii walipoikalisha Mtibwa Sugar kwa mbaoa 2-1 na kubeba taji hilo jijini Mwanza.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
11h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’