Mkude akabidhiwa 'mkwanja' wake

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Aug 2018
Mkude akabidhiwa 'mkwanja' wake
Kiungo mahiri wa Simba Jonas Mkude jana alikabidhiwa 'mkwanja' wake baada ya kuibuka mchezaji bora wa msimu uliopita wa mashabiki wa Simba.

Mkude aliibuka mshindi wa tuzo hiyo baada ya kupigiwa kura nyingi na mashabiki wa mabingwa hao wa Tanzania Bara msimu uliopita.

Alikabidhiwa fedha hizo jana baada ya mchezo dhidi ya Mbeya City ambapo Simba iliibuka na ushindi wa mabao 2-0.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
16h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
19h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
2d ago
READ MORE β†’