Kiungo Mzambia Cleotus Chama sasa anaweza kuwatumikia mabingwa wa Tanzania Bara, Simba kwenye michezo ya ligi na mashindano mengine baada ya ITC yake kuwasili leo.
Mkuu wa Kitengo cha Habari cha klabu ya Simba Haji Manara amesema wameipokea ITC ya Chama leo.
Chama ataanza kuitumikia Simba kwenye michezo ya ligi baadae mwezi ujao baada ya kukamilika kwa michezo ya Kimataifa iliyo kwenye kalenda ya FIFA.
Chama ameitwa katika kikosi cha Zambia kinachojiandaa na mchezo wa kusaka nafasi ya kufuzu fainali ya AFCON 2019

ADVERTISE HERE