Mchezo wa Simba dhidi ya Lipuli wapigwa kalenda

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Aug 2018
Mchezo wa Simba dhidi ya Lipuli wapigwa kalenda
Bodi ya ligi kuu imetangaza kusogeza mbele michezo iliyokuwa ipigwe kati ya Septemba mosi na tatu kutokana na maombi ya kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Emmanuel Amunike.

Mtendaji wa Bodi hiyo Boniface Wambura amesema Amunike ameomba michezo hiyo iondolewe hasa kwa timu zilizotoa wachezaji wengi kwenye kikosi cha timua Taifa kwani anawahitaji wachezaji hao kuanzia Septemba mosi.

Septemba Mosi kikosi cha timu ya Taifa kinatarajiwa kuingia kambini kujiandaa na mchezo wa kuwania kufuzu kwa michuano ya AFCON 2019 dhidi ya Uganda utakaopigwa Septemba 08 nchini Uganda.

Hivyo mchezo kati ya Simba dhidi ya Lipuli uliokuwa upigwe Septemba 01 uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam utapangiwa tarehe nyingine.

Aidha michezo itakayozihusu Yanga na Azam FC katika tarehe hizo nayo imeahirishwa.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
29m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’