Kigogo TFF afungiwa kutojihusisha na soka maisha

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Aug 2018
Kigogo TFF afungiwa kutojihusisha na soka maisha
Kamati ya maadili shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) imemfungia maisha kutojihusisha na masuala ya soka msimamizi wa kituo cha Shinyanga, Mbasha Matutu.

Matutu ambaye ni mjumbe wa kamati ya Utendaji ya TFF kutoka kanda namba 3 (Simiyu na Shinyanga) amepatikana na hatia ya kudanganya hesabu ya mapato kati ya mchezo wa Stand United na Simba SC msimu uliopita.

Pia Matutu anadaiwa kushindwa kutekeleza majukumu yake kutokana na kujihusisha na ubadhirifu, kughushi na kuiba kinyume na kanuni za Maadili na Ligi Kuu

Uamuzi wa kumfungia Matutu umetangazwa leo na TFF kwanye Mkutano na Waandishi wa Habari uliofanyika Makao Makuu ya Shirikisho hilo, Karume jijini Dar es salaam.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’