Baadae leo Jumatatu, saa 12 jioni mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba watashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili Mbeya City katika mchezo wa raundi ya pili ligi kuu ya Tanzania Bara.
Viingilo vya mchezo huo;
VIP A : 15,000/-
VIP B : 10,000/-
Mzunguuko : 3,000/-
Watoto : 1,500/-
Mkuu wa Kitengo cha Habari cha klabu ya Simba Haji Manara amewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi uwanja wa Taifa ili kuwapa sapoti mabingwa hao watetezi katika kampeni ya kutetea ubingwa.

ADVERTISE HERE