Hati ya Uhamisho wa Kimataifa (ITC) ya mlinda lango Deogratius Munishi 'Dida' imewasili na sasa yuko huru kuwatumikia mabingwa wa Tanzania Bara, Simba.
Afisa Habari wa Simba Haji Manara amesema Dida atakuwa sehemu ya kikosi cha Simba kitakachoikabili Mbeya City kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara kesho.
Aidha kwa upande wa Mzambia Cleotus Chama, Manara amesema hati yake wanaitarajia kuwasili hivi karibuni.

ADVERTISE HERE