Baada ya jana kushuhudiwa michezo miwili ya ligi kuu ya Tanzania Bara mzunguuko wa pili ikipigwa ambapo Costal Union iliilaza Bishara United bao 1-0 na kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi huku Singida United ikiilaza Mwadui Fc bao 1-0, ligi hiyo inaendelea leo Jumapili kwa nyasi za viwanja vinne kuwaka moto.
Hii hapa michezo inayopigwa leo;
Hii hapa michezo inayopigwa leo;
ADVERTISE HERE