Jana mshambuliaji wa Simba Emanuel Okwi aliongeza idadi ya tuzo kwenye kabati lake baada ya kampuni ya JustFit inayojihusisha na kuuza vifaa mbalimbali vya michezo kumpa tuzo kwa kuibuka mfungaji bora wa ligi kuu msimu uliopita.
Okwi amekabidhiwa tuzo hiyo katika duka la JustFit lililo Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Okwi aliifungia Simba mabao 20 kwenye ligi msimu uliopita.
Okwi amekabidhiwa tuzo hiyo katika duka la JustFit lililo Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Okwi aliifungia Simba mabao 20 kwenye ligi msimu uliopita.
ADVERTISE HERE