Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo inaingia raundi ya pili ambacho michezo kadhaa inatarajiwa kupigwa katika viwanja mbalimbali.
Saa nane mchana Coastal Union iliyolazimishwa sare na Lipuli kwenye mchezo wa kwanza itakuwa nyumbani ikipepetana na Biashara FC.
Michezo mingine itakayopigwa leo;
Ruvu Shooting vs KMC
Alliance vs African Lyon
Azam Fc vs Ndanda
Jumapili
Singida United vs Mwadui FC
Jumatatu
Simba vs Mbeya City

ADVERTISE HERE