Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo kimefanya mazoezi uwanja wa Uhuru kujiandaa na mchezo wa pili wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mbeya City.
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumamosi kwenye uwanja wa Taifa.
Jana Simba ilianza vyema kutetea ubingwa wake kwa kuichapa Prisons bao 1-0 katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la Taifa.
Kocha wa Simba Patrick Aussems ameongoza mazoezi hayo ya leo ambapo baadhi ya wachezaji waliocheza mchezo wa jana aliwapa mazoezi ya viungo huku wengine wakicheza mpira

ADVERTISE HERE