Mabingwa watetezi Simba, Biashara United, Ndanda FC, Kagera Sugar na Mbao FC ziliibuka na ushindi katika michezo ya ufunguzi ya ligi kuu ya Tanzania Bara jana.
Michezo sita ilipigwa jana ambapo ni mchezo mmoja pekee kati ya Coastal Union dhidi ya Lipuli FC uliomalizika kwa sare ya bao 1-1.
Ligi hiyo inaendelea leo kwa michezo minne kupigwa kukamilisha raundi ya kwanza.

ADVERTISE HERE