Leo mabingwa watetezi ligi kuu ya Tanzania Bara, Simba wanashuka dimba la Taifa kuikabili Tanzania Prisons katika mchezo wa kwanza wa msimu huu.
Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems tayari ameweka hadharani kikosi chake kitakachoshuka dimbani saa moja jioni.
Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems tayari ameweka hadharani kikosi chake kitakachoshuka dimbani saa moja jioni.
ADVERTISE HERE