ITC ya Chama bado haijatumwa - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Aug 2018
ITC ya Chama bado haijatumwa - Manara
Kiungo mpya wa Simba Clatus Chama atakosa mchezo wa kesho wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Tanzania Prisons baada ya kuchelewa kwa leseni yake.

Akizungumza na waandishi wa habari leo, Afisa Habari wa Simba Haji Manara amesema wamekiandikia barua chama cha soka cha Zambia kuhakikisha wanatuma ITC ya kiungo huyo haraka iwezekanavyo.

"FIFA imewaandikia barua chama cha soka cha Zambia, na kuwapa deadline ya kuwa wawe wametutumia ITC ya Chama ifikapo August 22. Hivyo tunasubiri," amesema Manara.

"Kwa hali iyo upo uwezekano mdogo sana wa Chama kucheza mchezo wa kesho lakini tuna uhakika tutamtumia kwenye michezo itakayofuata."

Kwenye mchezo huo Simba pia itamkosa mlinda lango wake namba mbili Deogratius Munishi ambaye pia ana tatizo kama la Chama.

Kuhusu Okwi, Manara amesema upo uwezekano mkubwa akacheza mchezo wa kesho baada ya maumivu aliyopata kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Mtibwa Sugar kupungua.

Manara ameweka hadharani viingilio vya mchezo huo utakaoanza saa moja jioni kuwa ni ;

VIP A 15,000 (ELFU KUMI NA TANO)
VIP B 10,000 (ELFU KUMI)
MZUNGUKO 3,000 (ELFU TATU)
WATOTO 1,500 (ELFU MOJA NA MIA TANO TU)
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’