Mchezo wa Simba dhidi ya Prisons wahamishiwa uwanja wa Taifa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Aug 2018
Mchezo wa Simba dhidi ya Prisons wahamishiwa uwanja wa Taifa
Mchezo wa kwanza wa ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya mabingwa watetezi Simba dhidi ya Prisons ambao awali ulipangwa kupigwa kwenye uwanja wa Uhuru, sasa utapigwa kwenye uwanja wa Taifa.

Mchezo huo utapigwa kesho Jumatano kwenye uwanja huo ukitarajiwa kuanza saa moja jioni.

Afisa wa Habari wa Simba Haji Manara ametangaza viingilio vya mchezo huo kuwa ni;

VIP A 15,000 (ELFU KUMI NA TANO)
VIP B 10,000 (ELFU KUMI)
MZUNGUKO 3,000 (ELFU TATU)
WATOTO 1,500 (ELFU MOJA NA MIA TANO TU)

Manara amewataka mashabiki wa Wekundu wa Msimbazi kujitokeza kwa wingi kesho uwanjani kushuhudia Mnyama anavyoanza ligi kwa kishindo.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’