Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars Emanuel Amunike ametangaza kikosi ambacho kitacheza na Uganda Cranes Septemba 08 kuwania nafasi ya kufuzu kwa AFCON.
Aishi Manula, Shomari Kapombe, Erasto Nyoni, Jonas Mkude, Hassani Dilunga, Shiza Kichuya na John Bocco ni miongoni mwa wachezaji wa Simba walioteuliwa kuunda kikosi hicho.
Kikosi kamili

ADVERTISE HERE