Jana Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba ilikutana kwa mara ya kwanza kujadili mikakati ya msimu mpya unaoanza kesho.
Kikao cha Bodi hiyo kilijumuisha pande zote mbili, upande wa mwekezaji Mo Dewji na upande wa klabu ya Simba ulioongozwa na Kaimu Rais Salim Abdallah 'Tray Again'.
Simba itaanza kutetea taji lake la ligi kuu kesho Jumatano kwa kuumana na Tanzania Prisons katika mchezo ambao umepangwa kupigwa uwanja wa Uhuru ingawa tayari Simba imeomba iruhusiwe kutumia uwanja wa Taifa kwa ajili ya mchezo huo saa moja jioni.

ADVERTISE HERE