Uongozi Simba kuzungumza na Wanahabari leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Aug 2018
Uongozi Simba kuzungumza na Wanahabari leo
Uongozi wa klabu ya Simba leo Jumanne saa sita mchana utazungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya klabu hiyo, Msimbazi jijini Dar es salaam.

Afisa Habari wa klabu ya Simba Haji Manara amesema madhumuni ya Mkutano huo ni kueleza maandalizi ya kikosi cha Simba kuelekea mchezo wa ufunguzi wa ligi kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2018/19.

Simba itacheza kesho dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo ambao huenda ukapigwa kwenye uwanja wa Taifa saa moja jioni kama maombi ya kuhamisha mchezo huo kutoka uwanja wa Uhuru yatakubaliwa
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’