Kapombe, Bocco kuikosa Mtibwa Sugar

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Aug 2018
Kapombe, Bocco kuikosa Mtibwa Sugar
Mabingwa wa Tanzania Bara, Simba kesho wanashuka kwenye uwanja wa CCM Kirumba kuchuana na Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ngao ya Jamii.

Simba iliyowasili jijini Mwanza mapema leo ilifanya mazoezi jioni kwenye dimba la CCM Kirumba tayari kwa mchezo huo.

Kocha Mkuu wa mabingwa hao Patrick Aussems amesema beki Shomari Kapombe na nahodha John Bocco wataukosa mchezo huo kwa kuwa wametoka kwenye majeruhi hivi karibuni na hawakufanya mazoezi ya kutosha na wenzao.

Ukiondoa wachezaji hao, wengine wote wako 'fit' kuhakikisha Simba inaanza vyema msimu kwa kushinda Ngao ya Jamii.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’