Idadi kubwa ya mashabiki wa Simba wamejitokeza kuwapokea mabingwa hao wa soka Tanzania Bara walipotua jijini Mwanza mapema leo.

Simba imewasili jijini Mwanza leo Ijumaa asubuhi kwa usafiri wa Ndege mpya ya ATCL Boeing 787-8 Dreamliner ikitokea mkoani Arusha.
Baada ya kuwasili benchi la Ufundi la Simba lilielekea uwanja wa CCM Kirumba kukagua uwanja huo uliofanyiwa ukarabati kabla ya mchezo wa kesho wa Ngao ya Jamii.
Mtibwa Sugar ilifanya mazoezi katika uwanja huo leo asubuhi Simba inatarajiwa kujifua jioni.

ADVERTISE HERE