Afisa Habari wa Simba Haji Manara amesema wanatarajiwa kuondoka mkoani Arusha leo kwa usafiri wa Ndege kuelekea jijini Mwanza kuikabili Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ngao ya Jamii.
Simba na Mtibwa Sugar zitachuana kwenye mchezo huo utakaopigwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba, kesho Jumamosi August 18 2018.
Simba iliweka kambi mkoani Arusha tangu Jumatatu ya wiki hii kujiandaa na mchezo huo ambao unaashiria ufunguzi wa msimu mpya.
Manara amesema kikosi chao kiko tayari kwa mchezo huo na wana matumaini makubwa ya kuibuka na ushindi.

ADVERTISE HERE