Yanga imeshindwa kutamba mbele ya Singida United baada ya kulazimishwa suluhu ya 0-0 mkoani Singida.
Mtibwa Sugar nayo imetoka 0-0 na Ndanda FC.
Njombe ikalazimishwa sare ya bao 1-1 na Mbao FC.
Azam imeilaza Ruvu Shooting bao 1-0 hivyo kukwea kileleni mwa msimamo wa ligi.
Bado Simba ina nafasi ya kurejea kileleni kama itaibuka na ushindi kwenye mchezo dhidi ya Mbeya City kesho Jumapili.

ADVERTISE HERE