Ukarabati uwanja wa CCM Kirumba unaendelea

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Aug 2018
Ukarabati uwanja wa CCM Kirumba unaendelea
Tayari homa ya mpambano wa Ngao ya Jamii kati ya mabingwa wa Tanzania Bara Simba dhidi ya mabingwa wa kombe la FA Mtibwa Sugar imeendelea kuwapanda mashabiki wanaosubiri mchezo huo jijini Mwanza.

Chama cha soka mkoani Mwanza kimeendelea na ukarabati wa 'pitch' ya uwanja wa CCM Kirumba kuhakikisha uwanja huo unakuwa kwenye hali nzuri kuhakikisha timu zinatoa burudani kwa mashabiki watakaofika kuushuhudia mchezo huo keshokutwa.

Simba iliyokuwa imeweka kambi mkoani Arusha inatarajiwa kuwasili jijini Mwanza leo tayari kwa mchezo huo ambao utapigwa Jumamosi, August 18 2018.

Mtibwa Sugar iliweka kambi jijini Dar es salaam, inaelezwa tayari imewasili mkoani Mwanza
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’