Ligi Kuu yakosa mdhamini Mkuu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
โ€ข
15 Aug 2018
Ligi Kuu yakosa mdhamini Mkuu
Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imethibitisha msimu huu Ligi Kuu haitakuwa na mdhamini Mkuu kufuatia kujitoa kwa Vodacom.

Kwa mujibu wa barua iliyotoka jana na kusainiwa na Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Boniphace Wambura msimu ujao Ligi Kuu itakuwa na wadhamini, wawili tu ambao Azam Pay TV na benki ya KCB.

Katika barua yake, Wambura amesema kwamba Azam TV itatoa gawio la Sh. Milioni 162 kwa kila klabu kwa msimu, wakati KCB watatoa Sh. Milioni 15 tu kwa msimu wote huo.

โ€œMalipo stahili kwa kila klabu kwa msimu huu kutokana na udhamini huo wa Ligi Kuu ni (kama ifuatavyo). Tsh 162,624,000 (Azam Pay TV) na Tsh. 15,000,000. Malipo kutoka Azam TV yatalipwa kwa awamu nne, wakati KCB Tanzania yatalipwa kwa awamu mbili,โ€amesema Wambura.

Vodacom wamekuwa wadhamini wakuu wa Ligi Kuu tangu mwaka 2002, wakiipokea kampuni ya Bia Tanzania (TBL) waliokuwa wakidhamini Ligi hiyo tangu mwaka 1996 kupitia bia yao ya Safari Lager.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE โ†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE โ†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE โ†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE โ†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE โ†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE โ†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE โ†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE โ†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE โ†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE โ†’